🔔SHINYANGA EARLYTECH INTERNATIONAL COLLEGE INATANGAZA NAFASI ZA MASOMO YA UFUNDI STADI MWAKA 2026
Chuo kinapokea wanafunzi kwa kozi za ufundi stadi zinazodumu kwa miezi sita (6), ambazo ni:
✔️ Ushonaji wa Nguo na Mitindo
✔️ Mapambo (Decoration)
✔️ Ususi na Mitindo ya Nywele (Hairdressing)
✔️ Kompyuta kwa Wahitimu wa Kidato cha Nne
✔️ Masomo ya Sekondari kwa mfumo wa Miaka Miwili bila malipo
🔹 Pia Tunapokea Wanafunzi wa:
✔️ Kozi za ICT ngazi ya Level I, II na III
✔️ Udereva wa Magari, Bajaji na Pikipiki
Masomo Yataanza: Januari 13, 2026
📍 Mahali: Shinyanga – Barabara ya Old Shinyanga, Nyuma ya Kom Sekondari
📞 Mawasiliano: 0741 098 863
✨ Karibu SEIC – Karibu katika Ulimwengu wa teknolojia!

Social Plugin